Kinaga cha Chokri

Kinaga ya Chokri ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanaga. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinaga ya Chokri imehesabiwa kuwa watu 83,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaga ya Chokri iko katika kundi la Kisal.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy